No point hapo!!! U could rethink b4 ya kuandikia jamii statement kama hizi!! Hamna mahusiano ya chuki hapo kabisa!! Basi japo mwakani badirika come up na vitu vya kujenga
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mara nyingi sera kama hizo hazina maazimio ya wengi hivyo kupigiwa kelele jukwani ni ngumu kaibuka mtu m1 na kauli hiyo sasa mpaka augwe mkono na nec,, ila ya kujivua gamba nui dhahiri ccm wamechemka vibaya mno hawana uwezo wa kuwavua waliowakusudia maana nguvu zao ni za mamilioni ya watu na kwa...
Wananchi ndo watakaoamua ndugu zangu sisi pengine hatupo jimbo la Arusha wala Nyamagana tunapiga kelele tu humu!! The right leader from the right party will win the election, let's leave them decide wether ccm did o cdm did the best!!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.