Recent content by Res-q

  1. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kisa kabila langu

    Duuuh.. Hiv haya bado yapo tuuu.. Pole ndugu..
  2. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Nawashukuru sana Ndugu zangu kwa michango yenu mizuri. Nitafanya hivyo kwa kutumia ushauri wenu vizuri respect kwa Proffesor, Cybernetic na wengineo mwenyezi Mungu awabariki nimepata mwanga sana. Asante.
  3. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Duuuuuh Mangatara Nakushukuru sana. Bado hatuna mtoto ndoa Ina miezi 6 sasa. Nashukuru sana kwa ushauri wako.
  4. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Nna 27 na mwenzangu ana 30.
  5. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Haya... Lakini mi naona ilikua poa tuu siku mbili hiz tatu ndio shida imeanza kutokea.. Sio kwamba ni kibamia Yuko kawaida tuu. Labda mnisaidie kama kuna mtu anafahamu vitu asili vya kuongeza nguvu za kiume.
  6. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Asanteni....
  7. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Mnaotukana poa tuuu yatawakuta. Ila ki ukweli Nilitaka kusaidiwa tunaenda wapi kwa matusi watanzania? Kama Huwezi kuchangia si uache upite tu.
  8. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Asante Jingus kwa ushauri...
  9. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Tulikua tunafanya vizuri kabisa nashangaa siku hizi mbili tatu mambo hayaeleweki...
  10. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Joasi nna kilo 64 hiv...
  11. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Nisaidie banaaaa..
  12. Res-q

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumfikisha nifanyaje?

    Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni. Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua kimelala sasa. kanikasirikia sasa tatizo nini? Nifanyaje?
Back
Top Bottom