Tatizo la hawa watu ni kwa sababu CAG ni mkristo safi ndio maana hawaishi kumuandama. Namfaham vizuri sa huyu mzee na familia yake na nasikitika na hizi tabia za baadhi ya members kumuandama kila msimu wa kutoa hizi reports
Cha ajabu mleta mada ameamua kuwaandama wakuu waliopo Tanesco na NHC...
TEAM LOWASSA is fighting back
na inavyoonekana wamejizatiti vilivyo maana kila tuhuma iliyotolewa imeambatana na ushahidi wa maandishi toka magazeti ya Tanzania na kibaya zaidi Nyalandu hajakanusha hata moja
Sidhani kama hawa jamaa walilipa kodi for this transaction. Lakini naweza its the biggest transaction iliyofanyika in Tanzania for the last 3 years.
Perhaps Kitilya anaweza kutoa majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.