Recent content by renatus mwanisenga

  1. renatus mwanisenga

    Tunatafuta wauzaji na installers wa ZUKU Wilayani

    mimi nipo rukwa wilaya ya kalambo.mimi ni fundi mzuri
  2. renatus mwanisenga

    Tatizo la Subwoofer

    Wote tatizo linafanana.in kubadilisha power tu
  3. renatus mwanisenga

    Tatizo la Subwoofer

    Ndo zinamalizika kufa haic za bass power,au transister power.uzuri siyo bei
  4. renatus mwanisenga

    Hivi kweli kuna wataalamu wa IT Tanzania?

    kuna mawili hapo.inaweza kuwa imeshot board ikafa.la pili ifungue isafishe hata kwa petroli.ikaushe.na isiposoma.ukiwa umeifungua.kwa juu kabisa kuna kadude kanaonekana kama keupe kana tumaandishi kwa juu.hiyo ni kama fuse.huwa inakata .unga moja kwa moja
  5. renatus mwanisenga

    Tabia ya kutopokea namba ngeni/namba mpya

    umeongea point kubwa sana mkuu
  6. renatus mwanisenga

    Hili tatizo la Azam TV ni kwangu tu?

    Matangazo yapo vizuri tu, kagua tu mfumo wa dish lako hapo nyumbani,au hata decoder inaweza kuwa na shida ,jaribu kumshirikisha fundi kama huo ujuzi haufahamu.n,b,signal quality inatakiwa 65 hapo haiwezi kukatakata
  7. renatus mwanisenga

    Mtaalamu wa madishi anisaidie hapa

    Tanzania mux ,ni zaidi ya continental. Signal inasumbua Sana. But inategemea na location yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. renatus mwanisenga

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    angalia hapo juu nimekujibu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. renatus mwanisenga

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    kuna jamaa anayo kailazimishia kwenye kioo kingine imegeuza picha.mkuu si ndiyo zile zinakuwaga nyeupe jumba lake? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. renatus mwanisenga

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    iko hivo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. renatus mwanisenga

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    huo mkanda mweupe kama wa dvd .AV hii ni za pini.kwani hiyo ni tcl mtumba au dukani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. renatus mwanisenga

    Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

    mimi ninayo ila haiko kama hiyo japo ni inchi 32 Sent using Jamii Forums mobile app
  13. renatus mwanisenga

    King'amuzi cha Zuku kushindwa kukamata signal, tatizo nini?

    ic ya signal au tuner ndo shida Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom