Recent content by remy_official

  1. remy_official

    Tunaohamia Dodoma tukutane Hapa

    mbna umestuka hivo we si umesema asisite kukutafuta[emoji23] [emoji23]
  2. remy_official

    Naomba maoni yako katika kuanzisha kipindi cha radio au runinga

    Kumekua na vipindi vingi katika TV na Radio station mbali mbali, Tukiongelea zaidi Media kubwa kubwa unahisi ni kipindi cha aina gani kwa sasa kikianzishwa kitateka watu wengi, kiwe kipindi cha kueleimisha na kuburudisha pia chaweza kuhusiana na kitu chochote kama siasa, michezo na...
  3. remy_official

    Java & Android Programming Training

    hiyo PDF mbona haifunguki...naitaji kusoma hiyo kitu
  4. remy_official

    Ni chuo gani naweza kusoma advanced graphic design

    Habari za mihangaiko wana JF, naomba kuuliza ni chuo kipi naweza kusoma ADVANCED GRAPHICS DESIGN kwa Dar es salaam?
  5. remy_official

    Wakuu kesho ndo ile siku inayosubiriwa kwa hamu na wanavyuo wapya

    Mimi nataka nisome IT mnayo hiyo course hapo chuoni kwenu
  6. remy_official

    RICHMAVOKO KUTOKA WCB

    kma wewe unapenda mziki wa richmavoko karibu tujumuike pamoja kwenye group ambayo ipo kwa ajili yakusapport mziki wa richmavoko pia utawez kupata updates exclussive kabisa make mavoko tupo nae kwenye hiyo group
  7. remy_official

    Chuo cha Kilimanjaro instituite of technology

    habari za majukumu wana jf, naomba kuuliza kuhusu chuo cha Kilimanjaro institute of technology kilichopo sinza mapambano na mwenge, je hiki chuo kiko vizuri kwa ufundishaji upande wa course ya IT? maana kuna jamaa yangu amekosa nafasi UCC anataka aende apo Kilimanjaro make bado wanadahili...
  8. remy_official

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi za chuo cha swissport Dar es salaam

    asante sana mkuu nimekuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. remy_official

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi za chuo cha swissport Dar es salaam

    nilikua ninataka kwenda kusoma certificate ya IT katika chuo cha UCC na tiar nafasi nilishapata yakuanza mwezi wa tisa ila kuna mtu kanishauri kwamba nikasome hizo professional course za cargo niachane na habar za certificate, sasa bado nipo njia panda ndomaana nikaja kuuliza apa jf kwa...
  10. remy_official

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi za chuo cha swissport Dar es salaam

    Kuajiriwa kunategemea na nini? naomba maelezo kidogo kuhusu hilo, Mimi nataka nisome course moja wapo kati ya hizo mbili kwa ngazi ya certificate Sent using Jamii Forums mobile app
  11. remy_official

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi za chuo cha swissport Dar es salaam

    hiyo screenshot ndo baadhi ya course upande wa cargo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. remy_official

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi za chuo cha swissport Dar es salaam

    Habari za mihangaiko wana jf, mwenye uelewa kuhusu course zinazotolewa na chuo cha swisport kilichopo airport Dar es salaam ningependa kuuliza kuhusu ajira za hizo course tofauti na kufanya kazi kwenye shirika hilo la swissport unaweza kufanya kazi wapi? na je uhakika wa kupata ajira baada ya...
  13. remy_official

    Nafasi ya masomo 2017-18 kwa ngazi ya stashahada na astashahada toka UDSM-computing centre (UCC)

    vipi kuhusu hosteli kwa tawi la city centre make niliambiwa chuo hakina hostel ila kuna hostel za private, sasa hizo za private zinapatikana wapi na kwa gharama gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom