Recent content by Rementsere

  1. Rementsere

    Tabia ya kufurahia matatizo ya wengine

    Kweli mitaani yapo sana, Unakuta mtu anakuchukia bila sababu yoyote na hujawahi mfanyia lolote baya. Marafiki wengi pia wanafiki ukipata tatizo anakuwa kama mfariji wako ila akitoka anaenda kukusema vibaya kwa wengine. Binadamu ndivyo walivyo waweza msaidia mtu lakin akaenda kukutangaza...
  2. Rementsere

    Kupanda Ufaulu wa form 4 ni kiini macho

    Wanajamii Sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi linganishwa kwa usahihi....... Pia mfumo huu watu hawajauelewa, matokeo yangekuwa yametoka kwa...
  3. Rementsere

    Msaada wanajamii, laptop yangu aina ya ASUS inasumbua kuwaka, ina-freeze [inaganda]

    Nashukuru mkuu kwa ushauri wako, nipo mikoani itabidi niende kwa fundi nikaichek then ntakupa updates
  4. Rementsere

    Msaada wanajamii, laptop yangu aina ya ASUS inasumbua kuwaka, ina-freeze [inaganda]

    Nashukuru kwa info yako, kwa hiyo apo natakiwa nifanye nini mkuu ili pc yangu iwe poa?
  5. Rementsere

    Msaada wanajamii, laptop yangu aina ya ASUS inasumbua kuwaka, ina-freeze [inaganda]

    ni aina ya ASUS altec lansing . PROCESSOR AMD 1.36 Ghz ,HARD DISK 700 GB na RAM 4 GB MATUMIZI YAKE ni office works like dealing with microsoft package (word,access,powerpoint etc), printing,KUANGALIA MOVIE MUSIC, NA KUCHEZA GAMES. ram nili-upgrade kutoka 4gb to 6gb lakin nilivyoona no...
  6. Rementsere

    Msaada wanajamii, laptop yangu aina ya ASUS inasumbua kuwaka, ina-freeze [inaganda]

    Jamani laptop yangu aina ya ASUS inasumbua saana kuwaka na ikikubali kuwaka inaweza freeze nisiweze fanya lolote nimejaribu kupiga windows chini na ku-install upya lakin bado tatizo lipo palepale, Nishapiga chin windows kama mara tano hivi na kubadili RAM kwa kuhisi labda ndogo but the problem...
  7. Rementsere

    VEROSA mpya inauzwa

    Ni jambo linalonishangaza sana gharama ya gari pamoja na usafirishaji hadi bandarini (dar) ni ndogo ukilinganisha na TRA duty....... ni kwa nini TRA duty iwe kubwa kiasi hicho kwa nchi maskini kama TZ yenye wananchi maskini.? halafu wala nchi wanaingiza magari yao bila TRA duty... hii ni haki?
  8. Rementsere

    Soma kwa makini na toa ushauri wako nini kifanyike kwa watu wenye kipaji lakini mfumo hauwatambui

    Kiukweli hapa Tz hakuna mfumo wowote kuwaendeleza watu kulingana na vipaji vyao, tunaingia kwenye mfumo wa elimu ya kikoloni na bila shaka twajua kuwa hii elimu wameturithisha wakiwa na lengo la kujinufaisha wao hivyo sisi hatuwezi kuza vipaji vyetu zaidi ya kuendelea kuwategemea wao.....
Back
Top Bottom