Dr. Ulimboka usijali mwana ww hujamkosea Mungu, kwa kudai haki, utapona tu, siku zote Mungu ni wa wanyonge na waonewa, wafanye wanalotaka utapona tu, aliyekuokoa katika mikono fidhuli atakuokoa tu; waseme wanaleta waganga wasiwalete serikali ni ya raia, na raia daima watashinda tu wataonewa...