Recent content by Rehani

  1. R

    list ya wachezaji walio itwa kilimanjaro stars

    Aggrey morris, erasto nyoni ,cholo kevin yondani dida thomas ulimwengu mbwana sammata msuva
  2. R

    Undani wa John Mnyika na John Heche

    Kumlinga john na heche ni kitu usichokiju kabisa. John mnyika ni bora zaidi mara mia moja mbele labda unalinganisha majina yao ya mwanzo nimefanya kazi na hawa watu kwa karibu sana hivyo ninachoongea nakijua ukitaka nikusibitishe ubora wa mnyika na ujinga wa heche.
  3. R

    Kesi ya Kiongozi Uamsho: Mawakili watishia kujitoa, Sheikh Farid anyolewa ndevu...

    Hata akiwa na ndevu anapendeza.dhamana haki yao ya msingi serikali kuw3na msije mkatuamsha na sisi tuliola lala, uislamu usikubali ukiña muislamu mwenzio akione wala kunyanyaswa kama kunyimwa dhamana,kunyolewa ndevu. Ndevu kwenye dini yetu ni ibada msitutanie serikali na wale wanaochangia kinafiki.
  4. R

  5. R

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Football ni mchezo wa kupeana nafasi sio kama ruggy,
  6. R

    liverpool

    Watu wataishanga liverpool, ki ukweli wanajenga timu, na msimu ndio wanaanza mafanikio yan watakuwepo top 4,
  7. R

    Manji aanza mkakati wa ujenzi wa uwanja yanga

    Yanga kweli inabeba historia kubwa ya nchi yetu
Back
Top Bottom