habarini wandugu....jamani hivi kuna ukweli wowote kuwa hz mia tano za sarafu zimeadimika kutokana na watu kuzificha na kuuza km silver ambapo hupata pesa zaidi? na km ni kweli hv serikali haikuliona hli kutengeneza pesa yenye thamani ndogo kuliko gharama ya madini yenyewe?
tukitupilia mbali ushabiki naungana na mou kuwa kuna kampeni ya kuinyima ubingwa chelsea lakini sidhan km watafanikiwa..mechi ya leo ingeisha mapema sana ila ndo hvyo refa kaamua kuua..two clear penalties zilitosha kabisa kumaliza mechi hadi half time..nadhan chama cha soccer cha uingereza...
Habari wapendwa kama heading inavyojieleza nahitaji toyota ist iliyo katika hali nzuri ningependelea haswa namba c au d budget yangu
ni 7.5m. kama utahitaji tufanye biashara unaweza kuniPM
Mungu awabariki wote
Habarini wandugu, napenda kuuliza hizi gari aina ya carina kwenye show room naweza kupata kwa 7m? Kwa mwenye ufahamu naomba msaada. Asanten Mungu awabariki
jins city alivyocheza leo akiendelea hivi hivi chelsea atatangaza ubigwa mapema....tukiacha ushabiki city hayupo vizur na huenda round ya pili akapoteza mechi nyingi zaidi
mimi nimegombana nao pia kuna mkaka nimempigia simu kumueleza shida angu anakauli mby ikabidi nimzingue tu..huduma ya airtel money wamefunga account yangu wananambie nimekosea no ya siri mara 3. namba hyo hyo huwa naitumia kila siku.....wasipo badilika na hizo kauli zao watapoteza watu wengi sn
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex.
Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.
habarini wapendwa..jamani mimi naipenda sn hii gari na napenda niinunue ila tatizo siijui kiundani matatizo yake pamoja na ulaji wa mafuta.kwa wanaoifahamu naombeni ushauri pamoja na bei zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.