Ilishanitokea mimi, nikaja stuka kwamba kuna mtu mwingine alikua anakula. So, nikachukua maamuzi magumu, kuachana. Anayekwambia hivo dunia ya sasa uwe very skeptical maana hata ndani ya ndoa unaweza nyimwa kumbwe mwingine anakula. Ukianza onekana ---- mapema, hata kwenye ndoa itabidi uonekane...
Hili ndo tatizo la wasichana wengi hasa Watanzania. Kwani akikutongoza kwa heshima zote amekukosea nini heshima? Anakutongoza kiustaaarabu, na wewe mjibu kiustaarabu kwamba haitawezekana wewe kua nae. Kwanini unaanza kumkimbia. Just be straight forward, 'hey, I don't have any feelings for you'...
Swali moja hujajibu nyakoo. Did you use protection (condom)? Usije ukampa mme wako mtarajiwa magonjwa. Halafu angalia sana sana maana kama ume cheat sasa ivi, ni highly likely uta cheat kwenye ndoa maana ndoa in ups and downs.
Nyie mnaopiga makofi wafanyakazi wenu!! Ngoja na wewe ufanye kosa ofisini halafu bosi wako akupige mateke na makofi mbele ya wafanyakazi wenzako. Halafu mtu kama wewe ni mnyanyasaji mpaka kwa mke wako. Nenda tubu na uombe msamaha. Ungemfukuza bila kumpiga siku hiyo hiyo. Wewe na wengine malipo...
Nimekua nikiuliza swali hili mara nyingi kwa watu mbalimbali. Kati ya majibu mengi, wengi wamekua wakisema kwamba unapoanza kumtaka rafiki yako wa siku nyingi kimapenzi ni sawa na kutaka urafiki uvunjike na mkosane kimoja. Mnapokua wapenzi baada ya kutoka kwenye urafiki wa siku nyingi, mnaanza...
Msamaha ni jambo muhimu sana maana hata sisi wanadamu tunasamehewa na Muumba kila siku. Ni muhimu pia kusali na kuiombea ndoa maana hizo ni challenges za ndoa. Anyone can go astray!
Pamoja na maisha mengi, poa unapata heri. Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani. Ambaye haheshimu mzazi wa pande yoyote ile katika ndoa, basi atapoteza hiyo heri na maisha yake hayatakua marefu. Sijawahi comment lakini leo hii hili limenigusa maana nna mifano hai. Malipo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.