Recent content by Regghan

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

    Aaaaaa mzeee usiangalie kumlizisha kwa kumpa zawadi na kumuudumia mahitaji yake yote, jiulize pia unamfikisha kwenye kilele cha mlima kilimanjaro?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kipi bora Ukweli ama uongo?

    Ukimwambia msichana ww ni mzuri hato kuamini na Ukimwambia ni mbaya atakuamini na hato kusahau daima
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi kwa 'RAIS JK KIKWETE'

    Nani mwenye ujasiri wa kumvisha paka kengele?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Lakini siyo lazima kutumia vitu vilivyotengenezwa na chemical huwezijua ukweli, mbona ukitumi maji ya ukwaju au maji ya ugali yaliyo loekewa kwenye sufuria inakata kabisa ndani ya mwezi,jaribu kunawia kila siku ujionee
Back
Top Bottom