Recent content by Regamarushu

  1. R

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Maoni yenu ni mazuri sana, binafsi nimelima ufuta huko ilangali dodoma, nilifuata taratibu zote, ufuta ulikubali sana sana, ila kwenye mavuno kilichotokea ilikuwa kama ndoto, mchwa walikuwa wengi sana kwenye ufuta, ila kiufupi kulikuwa na mambo ya kishirikina ambayo ni isue kubwa sana kwenye...
  2. R

    Soko la vitunguu Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania

    Hapo kina mtu ana point nzuri, hao wa comoro wanapatikana wapi au hao wa kenya wanapatikana wapi? ku penetrate masoko ya nje ndo dili ila sasa, peke yako huwezi, ni kwa wakulima wa kitunguu muungane na mpeane taarifa na network ya soko, packaging ya kitunguu sio comlicated kihivyo, hatuna sababu...
  3. R

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ni mawazo mazuri kwa wote waliotoa, pongezi kwako mtoa mada na mlio changia, mhesima katoa ufafanuzi mfupi wa mbegu, ila kwenye kilimo kuna zaidi ya mbegu, hivyo kwa kuwa yeye ni mkulima mzoefu wa zao hili katoa mawasiliano yake pale, barua pepe na kilongalonga hivyo ukimtafuta auatapa maelekezo...
  4. R

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Naomba anayejua kilimo cha matikiti maji na biashara yake kwa ujumla anipe muongozo, nilifanya feasibility study maeneo ya Ruvu, nikakutana na mdau akaniambia morogoro kunasehemu yanastawi vizuri na hutumii gharama kubwa kama Ruvu au bunju ila bahati mbaya niliondoka nje ya nchi kabda...
  5. R

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Yote ni mawazo mazuri, ila mhusika endelea kufanya feasibility study ya kukuridhisha then uanye maamuzi, kuingiza mchele wa thailand na china utaadhiri soko lakini bado quality zitatofautiana kama mchele wa mbeya super umebakia juu mpaka sasa,
  6. R

    mpenzi sio mume au mke nenda taratibu!

    mawazo mazuri, lakini yameaangalia negative tu wakati kuna postive, ni kweli rafiki sio mume au mke, hata urafiki wa jinsia moja unavunjika kwa kitu kidogo hatakama mmekuwa tokea utotoni pamoja mtavurugana, ila kama mtakuwa na malengo ya biashara na mnaweza team up mnafanya ila muwe makubaliano...
  7. R

    Vijana wa kisasa

    vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile pictures za watu na stutus za watu, inakula kwako, napenda kuwapongeza wadau wote wa jamii forum kwa...
Back
Top Bottom