Hivi english ya maraisi wa nchi nyingine unazijua? Pamoja na kwamba wako ulaya, lakini english ya wakuu wa nchi za ujerumani, Italia, Spain nk ni mbovu zaidi ya unavyofikiri. Nenda Asia ndo utachoka kabisa. Mfano mzuri ni huyu rais wa vietnam aliyetutembelea hivi karibuni Tanzania.
English si...
Kuna jambo huwa linanikasirisha mimi. Ukimualika kiongozi kwenye shughuli mf kuwa mgeni rasmi lazima umpe bahasha(pesa).
Hii nayo ni kero kwelikweli.... Hotuba yenyewe unamuandalia halafu unampa posho wakati ipo ndani ya majukumu yake.
Mzinga unaendana na saiz ya nyuki. Unaweza leta mizinga nyuki wakashindwa kuingia na ukapata hasara. Kuna jamaa kaagiza mizinga kama 100 kaiweka misungwi na hakuna nyuki hata mmoja kaingia kwa sababu ya size.
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.