Recent content by Refrigirator

  1. R

    Fumanizi mara zote huimarisha ndoa..!!

    Mtu mpaka atoke nje ya ndoa ina maana ndani kuna mapungufu ambayo anatoka nje kuziba mapungufu hayo, kwahiyo inawezekana ukafumaniwa na ukampiga chini aliyekufumania na kuendelea na mgoni au kuachana nao wote! Fumanizi haliwezi kujenga uhusiano na linaacha kovu ambalo halitakaa lifutike hata...
  2. R

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Clemence ametoa ushauri mzuri wenye sababu zinazoweza kuwa ni chanzo, wanawake wa kuokota Corner bar au Kimboka hawna mvuto wa kweli na kuna wasi wasi mwingi ukiwa nae, kwahiyo hata kwenda round nyingi ni ngumu unless umelewa kidogo. Kingine ni mazoea, ukimzoea sana mkeo unamuona kama kaka yako...
  3. R

    Mwanamke: Hata kama huzai kinakuuma nini..?

    Mimi nina miaka 9 na mke wangu hatujajaliwa mtoto na alinilazimisha sana na mimi nikafanye vipimo nilikuwa nagoma si kwakuwa nilikuwa naogopa kuwa mimi ntakuwa na tatizo ila ni kwakuwa nilikuwa najua ni mzima maana kuna girl friend alishatoa mimba zangu mbili, lakini alinishawishi nikasema...
  4. R

    US Singer & Actress Whitney Houston Dies Aged 48

    Drugs zimechangia kifo chake maana ck mbili nyuma alionekana kuwa mlevi kupindukia na akifanya vituko mtaani na hakuwa smart kama kawaida yake, na hiyo ni moja ya dalili za mtumiaji wa drugs. Kuna habari kuwa ameonekana na nail scraches miguuni na mikononi sasa sijui ni za kujikuna c unajua...
Back
Top Bottom