Tangu enzi za Yesu binadamu Wana mioyo migumu, wengi tangu enzi hizo miaka 2000 na ushee ndoa ilionekana ni kitu kisichowezekana,kataa ndoa walimzinga Yesu kuhusu talaka mpaka leo Taasisi hii ya ndoa ,Vijana Mungu pekee awasaidie maana mke wa ukweli hujiandaa kwa dhiki na faraja ambao hao ni...
Haa
Ngoja ncheke Kwanza , bata kuleni lakini pokeeni na ushauri wetu sisi tuliewatangulia .
Mimi Sasa hivi yangu macho hofu kwenu nyie wanetu.kabla ya kustaafu kazini nilikokuwa nikifanya kazi niliacha Vijana zaidi ya 100 ( Kati ya waajiriwa 300) wanahangaika kutafuta mke wa kuoa wakilalamika...
Mimi nipo na kundi langu la wazee nipo gado tulikuwa Vijana na Sasa ni wazee nyie vijana hamna swaga za maana zaidi ya maisha ya bata hamjui sie ndie tulikula ujana kuliko no ukwimi ,kazi,biashara ubwelele tunawaonea huruma nyie watoto wetu msie na heshima sisi tuliheshimu wazee ndio maana tuna...
Nimenunua bundle kwa pesa yangu kuandika ndio starehe yangu hapa tupo kijiweni sijamtukana mtu kinachokuwasha nini uzee wangu baada ya shughuli zangu napita JF yapo nayaona napita kimya yapo naandika ,kama vp ukiona hoja zangu pita kushoto kijana au nijibu kwa hoja usiniulize maswali ya kitoto
Sawa kabisa mwanaume uwe na hela ya kutosha kutunza mke na familia ,lakini usitumie pesa kama fimbo kuendesha ndoa yako pesa sawa zitakuletea heshima lakini usikosee umuonyeshe mkeo mikwara ya pesa zako nimeshuhudia mengi kwa umri na nyie wenye mikwara ya pesa na wadada wapenda pesa 99% Kati yao...
Sijui umri wako,mimi Nina 56 yrs old pia kupanga ni kuchagua Mimi nipo kundi linaloamini ndoa bora lazima kuwe na ushirikiano wenye mizizi ya utu na ushirikiano .
Kama upo kundi la pesa Kwanza punguza makasiriko .Pia sijui back ground yako maoni yangu ni ukweli mwanaume ukitaka kuoa lazima uwe...
Tafuta mdada anayejiapisha mjenge maisha pamoja hasa wale wadada wanaosema ukinunua kiwanja yeye ataleta tofali,ukinunua nondo yeye analeta bati ,ukiweka umeme yeye anawaleta dawasco wanawake hao wapo ila wako wachache sana ukibahatika utajikuta una pata kitambi Cha moyo .
Hao wa tafuta pesa...
Ndugu waonee huruma hao wanawake baadhi yao huamka saa 9 usiku anawahi sokoni buguruni kununua matunda saa 2 asubuhi anaanza kuranda mitaa kutafuta wateja mpaka jioni akirudi kwake jioni anaanza kuwahudumia watoto na mme wake unaweza kuta Ni dereva wa daladala ,mme anarudi home choka mbaya hata...
Madhara ya kunywa soda yanajulikana Mimi Ni mnywaji wa soda tena nikiwa na walevi soda kunywa umejutahidi sana 3 ila pombe dadeki jamaa zangu wanatandika bia mpaka 15 kwa siku wengi wait tayari wameshaanza kusumbuliwa na kisukari Mimi soda nabalance na soda water au maji kwa wingi na napima...
Andiko hilo haliwahusu wanandoa ,wanandoa hasa ya kikristo Bible imeandika wanategemeana maana wamekuwa mwili mmoja,wakipendana kustahimiliana,kusaidiana na wamesisitizwa kutokuachanana hayo ya kutegemea wanadamu labda kwa wadangaji🤭🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.