Habarini ndugu zangu,
Mimi nina mimba ya mwezi mmoja lakin kuna utofaut niliona,nilianza kuumwa sana tumbo gafla afu damu zikaanza kunitoka.
Lakini nikaulza nilijibiwa ni kawaida damu inaeza kutoka kidogo wakati una mimba.
Cha ajabu damu ziliendelea kutoka kwa mda wa wiki nzima yani kama...
Yaaah kweli mama angu maan hata mimi nilitumia mda kweli kutwanga mpaka nikawaza hvi hakunaga mashine ya kusaga chenga cha mkaa?maana hapa nilipo mimikupata chenga. Ni rahisi sana kuliko maaranda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.