Recent content by Reele rinju

  1. Reele rinju

    Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

    Terms za nini akati mzinguaji ni huyo dada...aache wenge tu
  2. Reele rinju

    Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Hakuna uvumilivu unaohitajika mkuu...tunajiendekeza tu😀😀
  3. Reele rinju

    Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Mkuu ni namna roho za giza zifanyavyo kazi siku hizi...kwa maana uasherati umeaminishwa kuwa kitu sahihi...kumbe si sahihi kufanya mapenzi kabla ya ndoa. kwa upande wangu jambo niombalo kila siku ni mungu aniepushe na zinaa..si kwamba sijawahi teleza ila sihitaji kuteleza tena kwa dhambi ya...
  4. Reele rinju

    Kama si kubebwa Yanga hata nafasi ya 4 hawapati

    Unaongea upuuzi tu usio ujua
  5. Reele rinju

    Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Huu uzi ungefaa zaidi story of change Uko makini sana✌️✌️
  6. Reele rinju

    I love her madly. Why she acting this way?

    No problem kaka!! Just mind your business mkipishana salimia kawaida usianze kuongelea mapenzi mkipata wasaa wa kuzungumza...then usisahau kuvaa vyema na kupendeza ( inshort jipende) hapo utakuja nishukuru badae.
  7. Reele rinju

    I love her madly. Why she acting this way?

    Stuka Stuka!! bro huo mzigo unahitaji akili ndogo tu usioneshe kumpenda sana. But she loves you
  8. Reele rinju

    I love her madly. Why she acting this way?

    Umenena kaka 🤣🤣🤣🤣
  9. Reele rinju

    Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    Hahah hakuna rangi ntaacha kuona 🤣🤣🤣✌️
  10. Reele rinju

    Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    🤣🤣🤣🤣 Ohoo maisha mafupi sana
  11. Reele rinju

    Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    Hahaha wapi masta...hiyo ilikua longway kidogo
  12. Reele rinju

    Njia nzuri ya ku move on baada ya kuachana na umpendaye

    Wakuu habarini za wakati na poleni kwa majukumu ya kila siku, Iko hivi suala la break ups, usaliti na maumivu ya kimapenzi limekua suala linalosumbua takriban watu wengi sana katika mahusiano now days. Watu ku move on toka kwenye mahusiano yanayotatiza pia limekua kipengele kigumu sana kwa...
Back
Top Bottom