Recent content by Redondo

  1. R

    Kiswahili chatumika misa ya Papa Benedict Roma

    Wakuu, kuna misa ya Mwaka Mpya inaendelea sasa hivi Rome na kuonyeshwa live na kituo kimoja cha televisheni kiitwacho EWTN. Misa inaendeshwa kwa lugha ya Kilatini lakini nimefurahi sana kumuona Sista mmoja wa Kiafrika wakati wa maombi akitumia kiswahili fasaha kuwasilisha maombi huku akiombea...
  2. R

    Kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa maumbile na viungo vya uzazi?

    Kwa sisi ambao tumemega mademu wengi wa size mbalimbali hatukubaliani na hoja hii ya uhusiano wa maumbile na ukubwa au udogo wa viuongo vya uzazi. Kuna mademu slim na k zao ndogo na mnato sana, na wengine mabonge lakini mdebwedo, and vice versa. Huwezi kum-judge demu kwa umbile lake. Ngoja...
  3. R

    Bakhresa kumwaga mabasi 300, TABOA na wanasiasa wenye vyombo hivyo msilete hujuma!

    Kumbe hatimaye Rizi amepata kwa kupitishia mabasi yake? Alishtuka kidogo mwanzoni ilipo-leak kwamba anataka kumwaga mabasi mengi. Halafu JamboLeo ndio wameandika? Haya bana.
  4. R

    TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

    Dah afadhali maana sina hela ya kununua king'amuzi kwa sasa.:A S angry:
  5. R

    Majira: CHADEMA kwachafuka

    Hilo nalo gazeti? Ni afadhali ununue Uhuru au Habari Leo kuliko Majira. Hamna kitu kabisa na ninasikia waandishi wake njaa kali, hawana hata mishahara. Asilimia 90 ya waandishi wake ni makanjanja.
  6. R

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Niliwashangaa sana watangazaji hawa kuonyesha wazi chuki zao dhidi ya Lema na Chadema. Huwezi ukaiita Clouds FM 'the people's station' halafu ukawa na watangazaji bogus wa aina ya Hando. Kimaadili wao hawapaswi ku-take sides wanaporipoti kwenye chombo kama radio. Wanapaswa kuficha ushabiki wao...
  7. R

    Hiii ndio Tanzania ya MFALME KIKWETE

    Maskini Tanzania! Hivi tutaondokaje huku shimoni?
  8. R

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    I hate CCM!
Back
Top Bottom