Marekani na washirika wake Bado hawajawa na uwezo wa kuipiga Urusi au Mchina kwakua Moja ya mpango wa vita ni ku mzidi Adui maratatu ya uwezo wake wa kimapigano.
Ukipiga hesabu vibaya iyo vita utashindwa au utashinda kwa hasara kubwa.
Urusi akipiga hesabu ya kupiga u kraine kwa wiki Moja...
Ata Sadamu miaka Ile ya 90 alikua akipiga makombora ya Scud kule Kuwait, Jerusalem, Saudi Arabia na Base zote za Marekani zilizopo Ghuba.
Marekani na washirika wake wali mshambulia Sadam kwa muda mrefu na baadae walishika Anga la Iraq.
Apo Sasa vita ikawa rahisi maana Madege ya Amerika na...
Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ambalo lina viongozi intellectual linaongoza kwa vitendo vya kikatili kama ubakaji, ufiraji na mauaji.
Pale Rwanda Kanisa Katoliki lilihusika mojakwamoja katika mauaji ya Halaiki.
Apa Tanzania TEC wanataka kutupeleka uko bahati nzuri walidhibitiwa Mapema.
Unataka kuiaminisha Jamii kuwa Angela vipindi vyote alivyochaguliwa kama Waziri au Naibu Waziri alikua anapata nafasi iyo kwa kuwa Tunza wacheza taarabu!!
Ivi unaanini Jamii itakubaliana na hoja zako za kipuuzi!!
Katika vitu TEC na Kanisa katoliki Tanzania walikosea ni kufanya jitihada za Siri na wazi kuipindua serikali.
Siku zote jaribio lako la Mapinduzi ya Serikali liki fail Kuna gharama kubwa za wazi au za Siri hunabudi kuzilipia.
TEC na Katoliki wawe tayari kulipia gharama izo.
Ata Shetani/ Joka wa...
Gari la ICC limesimama apa Buza linakusanya maoni na ushahidi aya Shime wale waathirika mjitokeze.
NB: Msije mkarudia ule upuuzi wenu wa kutaka kuipindua Nchi kwa kujificha katika maandamano yasiyo na kikomo.
Safari hii mtapasuka vibaya na ICC wanashuhudia.
Mwameja na Manyika wamepishana kidogo katika vipindi vya kucheza
Mwameja alicheza na kizazi cha Nemes na Rifat.
Kabla Yao Alikua Iddi pazi na Ally bushiri
Kwa ujumla Mwameja alikua Bora pale Msimbazi ila kwenye timu ya Taifa washindanibwake kulikua na Rifat Said na Stephen Nemes.
Kwenye Timu ya...
Hakuna cha wake up call yule ni raia wa Marekani na ni Askari active member wa Jeshi la mMarekani.
Amekamatwa katika kipindi cha ahalitete ya ki usalama.
Baada ya mtuhumiwa kuhojiwa na kujiridhisha na Ubalozi wa Marekani kusuasua katika kutoa ushirikiano ili lazimika Vyombo husika vya ulinzi ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.