Ndugu zangu msaada, kuhusu kazi za Tanzania international University kupitia Zoom tanzania.
Nilituma CV, na wamnitumia email kuwa nimekuwa short listed but natakiwa kudeposit 20,000/= kwa ajili ya interview. non refundable, wakidai kuwa hawana staff wa kufanya interview, so they have decided to...