Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

Status
Not open for further replies.
Mkuu,naomba unichekie huyu dogo JOEL THEOPHIL,cheki walioomba kwa ngazi ya form six.asante
 
mkanunue na gazeti info mmepewa na majina mnataka muwekewe enyi watz mbna mnapenda spoon feeding
 
mkanunue na gazeti info mmepewa na majina mnataka muwekewe enyi watz mbna mnapenda spoon feeding

Watu hawafikilii,mi siwez kopy majina mia na zaidi kwa simu niyaweke hapa....

Taarifa niliyoitoa ilitosha kuatfta gazeti hlo
 
Jamani hii mada ya mwaka jana na alieamua kuirudia ili kycheza na akili za watu ni mpuuzi aisee
 
Ndugu zangu msaada, kuhusu kazi za Tanzania international University kupitia Zoom tanzania.
Nilituma CV, na wamnitumia email kuwa nimekuwa short listed but natakiwa kudeposit 20,000/= kwa ajili ya interview. non refundable, wakidai kuwa hawana staff wa kufanya interview, so they have decided to hire interview panel.
Jamai hii siyo magumashi kweli? nifungueni macho hapa tafadhali
 
Msaada wakuu, nili apply kazi Tanzania international University kupitia Zoom Tz, nimepata email kutoka kutoka kwa VC ikinitaka kudeposit 20,000/= non refundable kwa ajili ya interview. wanadai hawana staff wakufanya interview so they have decided to hire interview panel. Jamani hii siyo magumashi? mwenye taarifa kuhusu hili anisaidie tafadhali.
 
Ndugu zangu msaada, kuhusu kazi za Tanzania international University kupitia Zoom tanzania.
Nilituma CV, na wamnitumia email kuwa nimekuwa short listed but natakiwa kudeposit 20,000/= kwa ajili ya interview. non refundable, wakidai kuwa hawana staff wa kufanya interview, so they have decided to hire interview panel.
Jamai hii siyo magumashi kweli? nifungueni macho hapa tafadhali
Kijana angalia utarudi mbagala kwa miguu achana nao hao matapeli.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom