Recent content by red label

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    mdo mdomo koma,mdomo unaleta umaskini mdomo unajua...usipoudhibiti chai sana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

    haujui mengi kuhusu Hugh Hefner.All in all hiki wanachofanyiwa black celebrities and stars ni mwendelezo wa post war against black race.Hata Rkelly na wengine wengi huko nyuma ni mwendelezo wa hiki kitu.issue si Diddy issue ni black race Hawa literally wamekuwa ni subjects...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Diddy aripotiwa kuwekwa katika uangalizi maalum kuepusha asijiue

    naun naunga mkono hoja,wenye akili tunafahamu,Hawa whites hii program wanayokitambo sana,kuua black excellence...Hakuna watu wachafu kama wazungu,rejea Hugh Hefner wa playboy mansion alikuwa anaoa hadi vitoto under 18,Kuna hadi Binti wa kitanzania (halfcast wa kitanga na kizungu miaka ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

    p poapoa kamanda nitapita kukuunga aisee
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

    nilipakosa nikaishia Kazimoto pork park....
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

    mwanamke mpe hela,nasema tena mpe hela,mwanamke ameumbwa na huruma,yupo tayari kulea kilema Cha aina yeyote muhimu kuwe na pesa tu ...Pesa ni sabuni ya roho,pesa ni NGUVU za KIUME,wanaume wenye pesa za kuhonga tujipige kifua na kujidai💪
  7. R

    JamiiForums Tanzania Familia tajiri Tanzania

    https://youtu.be/xgjJHr6jOYI?si=IXENNS49Uji6B-_u ipitie hapa na Mimi nimeiona YouTube
  8. R

    JamiiForums Tanzania Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    Dunia inaenda speed sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

    Umri wako ni miaka mingapi?unawatoto?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sio sawa kuwafanyia indoctrination au brainwashing za kidini watoto wadogo hivi

    Kuna shida yeyote?kwa nn tunawanunulia watoto toys ,tunawauliza wakiwa wakubwa wanataka kuwa kina nani?ni kosa kumnunulia mtoto nguo za ki-Pilot ama za sheikh ama daktari?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Kabisa aisee,wale jamaa kila kitu fursa
  12. R

    JamiiForums Tanzania Anamtafuta baba yake aitwaye Method Kapinga wa Namtumbo Songea, Ruvuma

    Hizo picha kashikilia Ua zimekumbusha mambo ya albam za picha,na baadhi ya mapozi maarufu enzi hizo...namtakia kila la heri awapate ndg zake
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

    We mwanaume kabisa .Hongera sana ,Mzee atatunza na nyingine atatumia na familia nzima,Ile ya Mama inaishia KUTOA kwa wachungaji feki na mambo ya ajabu ajabu
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

Back
Top Bottom