Recent content by Red Brigade

  1. Red Brigade

    Zahoro Matelephone akamatwa na dawa za Kulevya nchini Oman

    Eti inasemekana anamiliki 34% ya shares za Vodacom Tz. Pia ana estates huko nchi za kiarabu, inawezekana ni huku alipokamatwa Matelephone.
  2. Red Brigade

    Zahoro Matelephone akamatwa na dawa za Kulevya nchini Oman

    Umenikumbusha issue ya gari la msafara wa Rais wa Liberia kukamatwa na kilo 300 za sembe.
  3. Red Brigade

    CHADEMA: Ukweli kuhusu Mchungaji Israel Natse, Peter Msingwa na Prof. Baregu

    Ni mwendo wa nondo za kichwa kama kule Mbeya mpaka wakae na unafiki wao. ''Huwezi kuitumikia CCM na ukabaki kuwa MwanaCDM'' - Tundu Antipas Lissu.
  4. Red Brigade

    Sijajiuzulu uongozi CHADEMA-Prof.Baregu

    Magamba at work...
  5. Red Brigade

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kuanzia kesho (Nov 20, 2013)

    Hivi bado hujamaliza dozi za yale magonjwa yaliyotajwa hapa jamvini? Na vipi kuhusu michango ya rambi rambi Marehemu Mwangosi uliyotafuna, hujajaaliwa kupeleka hata robo yake?
  6. Red Brigade

    Zitto: Vyama vyote vimekabidhi mahesabu kwa CAG

    Kuku Tembe a.k.a Mama wa Vifaranga.
  7. Red Brigade

    Rage Atimuliwa Simba!!!

    Umenikumbusha siku ile Mwigulu na Rage walipoigeuza Simba kama timu ya mchangani na wachezaji wake ni kama wale tunaowaita Ndondo.
  8. Red Brigade

    Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    Kichwa kinauma sana, najaribu kung'amua yaliyomo kwenye kila episode ya series hii.
  9. Red Brigade

    Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

    Huyu ni mmoja kati ya vifaranga wa yule jamaa wa Mlungula wa Ujerumani.
  10. Red Brigade

    Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

    Mwendawazimu! Peleka hii kitu kule Jahazi Modern Taarab, hapa si mahali pake.
  11. Red Brigade

    Hakuna Mgogoro wowote CHADEMA - Zitto Kabwe

    Long live Zitto's wisdom.
  12. Red Brigade

    Prof. Majimarefu (CCM) anatafutwa kwa wizi wa gari la mbunge mwenzake

    Ukoo wa panya ......................
Back
Top Bottom