Recent content by Recruit

  1. Recruit

    JamiiForums Tanzania Je, haya matangazo ya kupata fedha au 'bundle' mtandaoni ni kweli?

    Wa alaikum salaam Hamna sio kweli mzee, online earning n posible kwa vitu kama kuanzisha blogs, mayb youtube channel, instagram marketing etc. Ila wengi sana almost 95% ni waongo na huwa wanalenga kupata visitors kwenye website zao maana ukiangalia matangazo yalowekwa pale na ukaclick basi yeye...
  2. Recruit

    JamiiForums Tanzania Sionekani kwenye majina

    Hiyo list ni updated au ya toka round zlizopita ,fatilia vzr mana inaweza ikawa haijahusisha wa2 wa fourth round
  3. Recruit

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu BVM

    Shukran
  4. Recruit

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu BVM

    Wakuu samahan ,kama kichwa cha habar knavosema km kuna mwenye ujuz kuhusiana na soko la course ya bachelor of veterinary medicine ,nlikuwa naomba anifahamishe
  5. Recruit

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani mtu kupata reference number ya MUHAS baada ya kufanya usajili?

    Daaah wanazngua kwel hata mimi hivo ,,,nimewakubali UDOM fasta tu ,,,wakuu mwenye msaada
  6. Recruit

    JamiiForums Tanzania Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Wapi yesu kasema yy mungu nsaidie ,,if there's a line kasema mwenyewe mm mungu niabudun
  7. Recruit

    JamiiForums Tanzania Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

    Hiyohiyo sema editing zmekuwa nying vitabu hvo vngne, m.mungu akaleta Quran na ameahidi kuitunza na marekebsho yoyote that's why haina dosari
Back
Top Bottom