Mkuu sahihi sana hata church girls asilimia kubwa wanawakataa church boys pale wanapowafuatwa kuingia nao kwenye mahusiano ,
Mwishowe wanajikuta wapo na bad boys
Daaa hivyo hiya vilikuwa mbaya sana sema kulikuwa na mkono wa mataifa ya nje.
Baada ya kuingia bush madarakani ndo alimaliza vita maana aliwaambia kagame na museveni anaacha kuwasupport.
Ndo vita vikaisha.
Baada ya hapo kagame na museveni walijaribu kuiteka congo yote but walishindwa walimtumia...
Watu hawaelewi kitu kimoja
Mpk Israel na marekani wanaanzisha hio operation unajua na wanaelewa Iran ana siraha za aina gani.
Na wanajua wakiaanzisha mashambulizi Nini kitatokea ,
Sasa pro iran wanafikili kaka Israel na marekani kama wandawazimu
T14 Armata
Ishu ya mali inajuliakana mkuu.
Ila uhai wa mtu ndo kitu Cha mwisho muhimu.
We unashangaa Hilo,
Sasa kama kikija kikundi Cha siraha Kali za kivita uhalibifu ndo utakuwa zaidi ya mara 50 uliouona.
Sasa sijui mtasemaje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.