Recent content by reboot

  1. R

    JamiiForums Tanzania Faida za "beer" ni zipi?

    Acha kuuliza swali la kijinga inamaana wewe hujui faida za bia???
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vitz in good condition, Nina 6m

    Sio akinunua sema kuagiza huko jp nk!... kununua tu hapa bongo unaweza daka ndinga kwa bei poa tu!...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

    Angalia movie zake utamwelewa, Try hard 2015, Central Intelligence 2016 etc kweli anakipaji na ni star kwelikweli!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajui huu mchezo unaochezwa kati ya Makonda, Kikwete na hawa Homeshopping Centre

    Vyombo vya dola vichunguze ili tujue ukweli wa hili jambo!! .. mafisadi hawakubaliki awamu hii
  5. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya benki ya CRDB kusitisha mikopo, benki ya Posta nayo yasitisha

    Hivi nyie hamjaona taarifa kutoka IMF Tanzania yaongoza kwa ukuaji wa uchumi East Afrika kwa 6.9% na ni ya pili kwa sub-sahara countries!!...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

    Kwanini ndugu?? Tujuze...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Klabu imevunja mkataba na staa wa Cameroon baada ya kugundua kuwa ana HIV

    Hakufuzu vipimo ni jibu tosha kabisa hayo mengine ni uvunjifu wa privacy rights!!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wavamia kikao cha ndani cha Kamati Kuu ya CHADEMA, Meza Kuu yaitwa Polisi na kuachiwa

    Ukut.. . Ni noma sana! .... yaani ni mwendo wa mapovu tuu!...[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Back
Top Bottom