Asante chief ,inamaana wa watu waliosoma sociology na course zingine ambazo sio za afya zinazoweza kusoma masters ya public health pia wakisoma masters nao mishahara yao inakua TGHS G
Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?
Msaada wakuu.
Zote ni nzuri ila radiology ndio habari ya mjini kwa sasa,wanahitajika sana na wengi wao waliomaliza wanafanya kazi private maana private mwenye diploma ya radiology analipwa 1M na vichenchi wakati serikalin kwa sasa ni 720000/= wengi hawaapply serikalini wanabaki private kwahiyo hata serikalin...
Wakuu msaada tafadhali mshahara wa mtu ambaye ana degree mbili seeikalin unakuaje.
Maybe mtu ana degree na Health system manegement na pia ana degree ya social work unakuaje?
Msaada tafadhali.
Wakuu naomba ushauri kuna dogo langu limesoma clinical medicine diploma sasa ana miaka 24 anataka kwenda degree ya clinical nutrition ya miaka mitatu SUA vip inafaa wakuu ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.