Xhizo de incredible
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 112
- 176
Wakuu kati ya hizo diploma ipi ni nzur zaid kuisoma kwa sasa
Shukran sana nimepata mwanga itanisaidia katika kufanya maamuz maana nimechaguliwa zote hizoZote ni nzuri ila radiology ndio habari ya mjini kwa sasa,wanahitajika sana na wengi wao waliomaliza wanafanya kazi private maana private mwenye diploma ya radiology analipwa 1M na vichenchi wakati serikalin kwa sasa ni 720000/= wengi hawaapply serikalini wanabaki private kwahiyo hata serikalin wanahitajika sana na ukizingatia kwa tanzania vyuo vinavyotoa diploma ya radiology ni Bugando na Muhimbili tu na wanafunzi ni wachache yani unaweza kuta wanagraduate watu 20… kwa sasa ndo wameanza kuongezeka.
Nenda radiology haraka sana wala usiwe na ukakasi ina uwanja mpana wa kujiajiriShukran sana nimepata mwanga itanisaidia katika kufanya maamuz maana nimechaguliwa zote hizo
Kati ya radiology na optometry jee..?Nenda radiology haraka sana wala usiwe na ukakasi ina uwanja mpana wa kujiajiri