Habari mkuu. Naomba kama unaweza kuniunganisha na wauzaji wa hizi tiles za grade B. Pia ningependa kujua kama bado unayo madirisha na milango used ya PVC.
Ahsante.
Habari Raynold,
Nashukuru kwa kuongea na wewe leo na maelezo yako mazuri ya jinsi ya kuuza maziwa kwa kutumia hizi milk atm. Naamini ni technologia nzuri sana kwa sisi wadau wa biashara ya kuuza maziwa, na natazamia kununua milk ATM toka kwako.
Prosper Mambo
Sent from my TECNO KE5 using...
Ni chumba cha malazi kinapangishwa Kinondoni studio karibu na Stereo Bar. Kodi kwa mwezi ni TSH 70,000/-. Maji na umeme upo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Prosper kwa simu au WhatsApp number 0765868128.
Karibuni sana.
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Habari zenu wadau wa kilimo biashara.
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mdau wa kilimo cha mahindi na naomba kujua namna ya kupata maghala ya kuhifadhia mahindi kuanzia tani 1000 kwa wakati mmoja kwenye hiyo mikoa. Pia ninaomba kujua gharama na muda wa kukodisha kwa kila...
Mkuu nashukuru kwa hii elimu unayotupatia. Mimi nina shamba la kahawa moshi, Kilimanjaro. Naomba kuuliza ni vipi naweza kufanya hiki kilimo cha macadamia na kahawa kwa pamoja. Asante.
Nauza Toyota rav4 Kili time shillingi milioni 8.
Ni manual
Ya mwaka 2000
4 wheel drive
Petrol
Leather seat.
Wasiliana na Prosper 0765868128
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.