Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Tunatengeneza Milk Vending Machine (MILK ATM)

Yaelekea huko moshi kuna High tech ya hali ya juu sana.ambayo ingelitakiwa sisi watu wa pwani ndio tuwe nayo.
 
Habari Raynold,

Nashukuru kwa kuongea na wewe leo na maelezo yako mazuri ya jinsi ya kuuza maziwa kwa kutumia hizi milk atm. Naamini ni technologia nzuri sana kwa sisi wadau wa biashara ya kuuza maziwa, na natazamia kununua milk ATM toka kwako.

Prosper Mambo

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom