Recent content by RealRespect

  1. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Leo Jumapili njoo na mstari wa kumbukumbu

    Mhubiri 9:16
  2. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Kama hujaoa au kuolewa njoo hapa tufarijiane

    Kweli
  3. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

    Kweli hapo kwenye miito ya simu mia mia.
  4. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Kweli kabisa
  5. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupiga punyeto kwa wanawake

    "Kaloti kwenye kifungashio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]" kwa mujibu wa dada mmoja. Ilikuwepo maalumu kwa kazi hiyo tu. Siku alimfuma house girl wake kaichukua naye kumbe alikuwa anajisasamua nayo. yalimtoka kwa kuwaza ni siku hiyo tu binti aliitumia ama walishea mara nyingi. Dunia ina mambo.
  6. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Ndio maana inatakiwa kuishi nao kwa akili.
  7. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Ndio maana ya mwili mmoja. Dada anajilaumu ulikuwa wapi mwanzo. Unamridhisha ndio maana yu muwazi kwako. Umejua historia yake, alivyo sasa & mupange yajayo huku mkimtanguliza Mungu.
  8. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Marafiki ni watu hatari zaidi kuwaweka karibu na mkeo/ mumeo/ mpenzi

    Hahaha. Yaani hawa wanawake. Ni kuishi nao kwa akili.
  9. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Hapana jamaa yangu. Matumizi yasizidi kipato
  10. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Hapana jamaa yangu. Zingatia matumizi yasizidi kipato.
  11. RealRespect

    JamiiForums Tanzania Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

    Mshahara wako kwa mwaka jumla ni milioni 12. Ukitoa ada za watoto milioni 8 zinabaki milioni 4. Kodi jumla ni milioni 3 na laki 6. Hapa mnabaki na laki 4. Mkae na mkeo mpunguze matumizi wapendwa. Mfano mtazame shule za bei nafuu & Nyumba ya bei ndogo. Msisahau kula mlo kamili.
Back
Top Bottom