Habari wana jukwaaa
#member mpya
Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu...
Habari,
Mimi ni kijana umri24 natafuta kazi yoyote
Hususani katika makampuni,viwanda,majumbani, madukani,mashambani
NB: sihitaji mshahara mkubwa
Nichek PM
Nina ujuzi computer application na ufundi umeme.
Habari,
Kama title inavyojieleza,
Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi.
Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.