Recent content by RealMan

  1. RealMan

    Bei ya Pamba soko la dunia yaporomoka

    Hii haina tofauti na ukulima wa matikiti maji kwenye makaratasi. Ukilima ekari moja utapata matikiti 3,000 ukipeleka Dar kila tikiti sh.2000 unapata milioni 6, ukitoa gharama milioni 1.5 faida milioni 4.5!!! Sawa mashati 3-4 unauza Sh 23,000 - 57,500, swali inagharimu kiasi gani kupata kilo...
  2. RealMan

    Bei ya Pamba soko la dunia yaporomoka

    Hili andiko linapotosha sana, kama wakulima wamelima ekari 40,869 na matarajio ni kuvuna kilo milioni 400 ndio kusema ekari moja watavuna kilo 9,787. Uzalishaji wa kiwango hicho haujawahi kufikiwa mahali popote duniani. Kiwango kikubwa cha mavuno ya pamba kupatikana Tanzania ni kilo milioni 370...
  3. RealMan

    Baada ya korosho, sasa zao la pamba limekosa wanunuzi nchini. Ni hujuma au ndio vita ya kiuchumi? Wanaogopa TRA kuwalundikia kodi na kuwafilisi?

    Samcezar umeongea mambo mengi mazuri lakini bahati mbaya umeyaweka kwa ujumla zaidi. Sina hakika una uelewa kiasi gani kwenye masoko ya mazao hapa ndani na nje ya Tanzania. Kwanza kwenye soko la pamba Tanzania waliowekeza kwa kiwango kikubwa ni wazawa na sio wahindi kama unavyosema. Mfano...
  4. RealMan

    Mtanzania wa Boeing: Nikiombwa kurudi nyumbani itakuwa heshima kubwa kwangu

    Isijekuwa anapewa hizi promo kwa vile tu Tanzania tunanunua madrimu laina pale. Mbona stori zake hazikuwepo miaka ya nyuma?? Akili ya mabeberu huwaza mbali sana ukishtuka ushaliwa tayari...
  5. RealMan

    Faida ya kuwa na mali nyingi ni nini kama wakati wa shida hazikusaidii?

    Msome tena Mgugu maana vifungu viko kwenye post yako aliyo-quote.
  6. RealMan

    Serikali yabadili uamuzi, yauza korosho ghafi kwa wafanyabiashara wa nje

    Ukiangalia kwenye mtandao uwezo wa Kenya kubangua korosho ghafi haufiki tani 30,000 sasa tani 100,000 hatujiulizi zinakwenda wapi?? Na pengine jamaa watafaidika na misamaha ya kodi iliyopo baina ya nchi washirika wa EAC.
  7. RealMan

    Serikali yabadili uamuzi, yauza korosho ghafi kwa wafanyabiashara wa nje

    FaizaFoxy kwa vile korosho na pesa ni swala la namba tunaweza kuziangalia zinasemaje. Tani tajwa 100,000 ambazo bei ya kununulia ilikuwa Sh3,400 kwa kilo au Sh. 3,400,000 kwa tani moja. Hivyo tulitumia Sh 340b kufanya manunuzi. Taarifa inasema tumepata 418b Faida ghafi 78b Ukitoa gharama...
  8. RealMan

    Viongozi Wa Vyama 6 Vya Upinzani Wakiwa Kwenye Kikao Zanzibar, FATMA KARUME Aliwakilisha Chama Kipi Kati Ya Hivyo?

    Kwa kuwa kina Karume wanajulikana kuwa ni wanachama wa CCM bila shaka kawakilisha CCM....
  9. RealMan

    Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

    Upatikanaji wa umeme kwa hakika hurahisisha maisha sana, ila linapokuja swala la mahitaji ya nishati jikoni - GAS ni jibu la kudumu. Assuming johnthebaptist uko na kwako na kuna umeme, unaweza kusema nishati ipi inatumika sana jikoni??
  10. RealMan

    Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

    Najaribu kuelewa ila swali......Kwani Tanzania imeanza kutumia HEP mwaka gani na kwa nini bei haikuwa rahisi kipindi hicho????
  11. RealMan

    Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

    Kutua mzigo wa kuni = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya kuni. Adha ya jiko la mkaa = watatumia zaidi majiko ya umeme badala ya mkaa. Swali: Watanzania wangapi wenye umeme majumbani kwao kwa sasa wanatumia majiko ya umeme??? "Mtu akikuambia neno la kijinga nawe ukakubali, mtu huyo...
  12. RealMan

    Fastjet Tanzania Posts Record 6-month Losses - $8.9 Million

    Tutakubishia hadi mishipa itoke lakini ndio ukweli....miaka ile wakati Precision anatamba bei za Mwanza au KIA zilikuwa Tsh500k hadi Tsh800k kwa return ticket. Baada ya ujio wa Fastjet kisha ATC bei zimeshuka kwa kiwango kikubwa....ukiona mteja anatamani mtoa huduma awe na market monopoly jua...
  13. RealMan

    Fastjet Tanzania Posts Record 6-month Losses - $8.9 Million

    Dreamliner inaruka kwenda Mwanza trip ya jioni, just reminding!
  14. RealMan

    Tutafakari: Uwanja wa taifa ulijengwa kwa bilioni 60, Lakini TAZARA flyover imejengwa kwa bilioni 100

    Hii analysis ime-assume US Dollar haipungui thamani. Kwa hesabu hii unataka kusema dollar moja 2006 ingenunua bidhaa kiasi kile kile 2018??? Hapa tulipaswa kujiuliza Tzs 60b ya 2006 ni Tsh ngapi 2018. That is called "Time Value of Money"
Back
Top Bottom