Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaruhusiwa anachotaka kujua mleta mada Shangazi anawakilisha Chama gani?kwani haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa
Hahahaa. CHADEMA bwana. LIssu ajiangalie huyu mtetezi wa MaShoga na Wasagaji anaweza kuchukua nafasi yake Chadema kama alivyoichukua TLSChadema tawi la wanasheria
anawakilisha chama gani? Swali rahisi hivyo mnashindwa kulijibu?kwani haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha siasa
Watetezi wa haki za binadamu
anawakilisha chama gani? Swali rahisi hivyo mnashindwa kulijibu?
Mafilauni hawa hapaHaki za ufirauni? Ufirauni sio haki za kibinadamu.. Hii iwe very clear..!!
Familia yake ina Urafiki na Familia ya Will Smith ...mtoto wa kiume wa Will Smith keshajitangaza amepata bwanaAlikuwa anawakilisha wale Wazee wa 'Haki ya Kibinadamu'
Unatuletea picha za kuunga unga ili iweje? Tuelezeni FATMA aliwakilisha chama gani hapo?