Ngoja niwape ushuhuda wangu,bangi nimevuta nikiwa form 2 mpaka sasa,japo sasa nipo bongo ila sivuti bangi,nikirudi chuga sinon huwa naenda kwa marasta kutafuta kitu.
Sivuti bangi za dar kwa sababu moja kwanza sio vichwa tupu,ukienda kwa sadari anakuuzia bangi iliyochanganywa na matakataka...