Recent content by RealHustler

  1. R

    JamiiForums Tanzania How to unlock a blackberry?

    last time i checked hawatoi hiyo MEP code mpaka contract yako iwe imeisha, anyway, i may be wrong
  2. R

    JamiiForums Tanzania How to unlock a blackberry?

    actually nadhani cdma works if utatumia zantel, sasatel au ttcl, i thnk hizo networks zinatumia cdma kwa bongo na wengine gsm
  3. R

    JamiiForums Tanzania taarifa kwa wahariri wa vyombo vya habari juu matukio ya Lillondo

    Me nadhani it's only fair na tatizo nyie watu mnataka kuComplicatemambo, Kama watu wameenda wametumia dawa/maji/whatever na wakapona then acha waende. Kama ni mtu wa kusoma artlicles etc. utakuwa unajua Placebo Effect sasa this might be the same kwamba hata kama hamna dawa mtu akitumia anapona...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Book to Read

    Hey Guys, mimi ni mgeni hapa so don't shun me kama niotakuwa nimekosea. Anyway, kuna kitabu nimekuwa nasoma lately kinaitwa "The Shackled Continent by Robert Guest" ningependa kuSuggest mkisome ingawa it may seem somehow tacky because of it's views but utapata some idea of why we are at the...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo: Watawala siyo miungu; Maandamano hayana tatizo so far..

    Maybe am wrong but the only person nimeona aliye right ni Halfcaste, sababu mauaji ya Rwanda hayakuwa na uhusiano na Kanisa au dini bali Ukabila. Anyway, just my two cents.
Back
Top Bottom