taarifa kwa wahariri wa vyombo vya habari juu matukio ya Lillondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

taarifa kwa wahariri wa vyombo vya habari juu matukio ya Lillondo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Mar 13, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUNAHESHIMU KAZI YENU LKN MNATUPOTOSHA

  Katika uhai wangu nilipokuwa shule sijawahi kusikia vyombo vya habari vikishabikia majambo ya ajabu kama haya.
  Nimetembea nchi nyingi sijaona vyombo vya habari vikijiingiza kuandika habari kama hizi.
  sijawahi kusikia vyombo vya habari makini vikiamini mambo ambayo sio ya kiitalam kuwa ndio suluhu ya matatizo ya kiafya yetu.
  sijawahi kusikia kanisa au msikiti ukiwa ndio hospital kwa kutumia maji ya bomba yanayotoka huko yasiothibitishwa kitaalam na vyombo vya habari vikashupalia jambo hili.
  huii ndio historia. historia ambayo imekuwa rekodi. siamini kama wahahriri wa vyombo vya habari wamepitia shule za chekechekea ambapo mwanafunzi huimbishwa tu na hajui atendalo au kubwa kuhesabu moja mpaka 10.
  nadhani kuweka kipaumbele katika swala hilo na kuwanya watu waanze kaumini Ukimwi, kisukari na hata maradhi sugu dawa yake ipo Liliondo ni hatari kwa taifa.
  Sijui maadili ya vyombo vya habari kuamini Maji ya kikombe alioteshwa mtu kuwa suluhu.
  Sijui wamepita vyuo gani vinavyaomini uchawi kuwa ndio suluhu ya magonjwa. kama ni hivyo basi ni hatari kwa taifa letu. leo wahariri wanaamini kikombe cha babu ndio suluhu ya Ukimwi? Malaria sugu.?
  Nipashe, majira, Jamboleo, Mwananchi. Tzdaima, Mtanzania wahariri mnapotosha taifa. mnaangamiza taifa. mnaabisha taaluma ya vyombo vya habari. mnadharaulika na sasa tunakuoneni mnakasoro ya kufikiria.
  ni aibu kwa muhariri aliemaliza elimu chuo kikuu cha da kaumini dawa ya babu ndio suluhu. huu ni uandishi mpya katika historia ya tz. kumbe hata mapambano yenu juu ya ufisadi ni wa kuoteshwa oteshwa tu. mnapoenda sipo badilikeni

  NADHANI WAHARIRI MUWE MAKINI MNAWEZA KULIANGAMIZA TAIFA LETU KWA KAUMINI MAJI BADALA YA TIBA YA KITAALAM.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,844
  Trophy Points: 280
  muhogomchungu== kakobe
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  sasa wewe unabisha nini kama watu wanatoa ushuhuda unataka nini tena..na mtu alikuwa na cd 4 ziko chini zimepanda ghafla..sasa unataka kumwambia aendelee kusubiria mpaka tiba ya kitaalam?kuna dawa kibao za shambani mbona watu wanatumia amjawauliza kitu?kama mwarubaini,marugaka(arovera)mshana na n.k..mchina akikuuzia kariakoo unanua ..mbongo mwezetu haiwezani...unamawazo mgando wewe!amin mabadiliko yoyote yanaanzaia nyumbani kwako kabla ya kwenda nje..
   
 4. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Usishangae ya Loliondo kwani ni Ya Musa! bali utashangaa ya Farao! ambapo iko siku atajitokeza mwingine na kudai kaoteshwa na Mungu ili awape maji Binaadamu ili uwe Tajiri!!! na amini usiamini watamiminika mamia ya watu watakaoamini dawa hiyo huku Wahariri wa Magazeti yetu ya Bongo wakishabikia hayo kwa kudai wamesikia baadhi ya hao watu waliokunywa hiyo dawa tayari wameshakuwa matajiri!!!

  Hapa ndipo tulipofika Watz! sasa tunaishi kwa maono na ndoto za usiku!!!!
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka bado hujaumwa weye!!! ukizidiwa hata mchanga utakula ukiambiwa ni dawa
   
 6. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tumeliwa
   
 7. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Rwakatare
   
 8. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Unafahamu maana ya HABARI kama inavyotambulika katika taaruma ya uandishi wa habari.....kama si mwana taaruma hiyo usiwalaumu moja kwa moja hao wahariri.......
   
 9. R

  RealHustler Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nadhani it's only fair na tatizo nyie watu mnataka kuComplicatemambo, Kama watu wameenda wametumia dawa/maji/whatever na wakapona then acha waende. Kama ni mtu wa kusoma artlicles etc. utakuwa unajua Placebo Effect sasa this might be the same kwamba hata kama hamna dawa mtu akitumia anapona and that am sure is scientifically acceptable.
   
 10. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna, hapa wahariri wetu wamepotoka
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sawa usemayo. Lakini ina maana hawa akina 'babu' wanatumia mateso ya wagonjwa (yaani wana-capitalize on people's suffering) kupitisha ajenda zao? Na waandishi kichwa kichwa wanaingia bila hata kutafakari?

  Kuna jamaa yangu anatayarisha matukio kama hili -- na mengine zaidi ya hili -- kuhusu tiba ya ajabu yaliyotokea kwingine duniani ambayo
  yalimalizikia kuwa laghai tupu. Thread hiyo inatayarishwa.
   
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi nani aliwaambieni wahahriri wa Tanzania ni watu wa maana? Wako tayari kuandika chochote wakinunuliwa, kwa lengo fulani. Na lengo la huyu Babu ni moja tu -- kupoteza ajenda ambayo ilikuwa inaikaba sana serikali ya JK.
   
 13. Nditu

  Nditu Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni waandishi hawahawa wanaoandika habari na kuwafanya wafahamike kina Kakobe, Mwingira, Rwakatare, kina "Dr" Ndodi, "Mitume", "Makuhani" na wanaojiita "Manabii kibao ambao wengi tu kama si wote ni waganga njaa, wenye malengo ya kunenepesha matumbo yao. Ni ukweli usiopingika kwamba woote hao wametokana na familia masikini kwelikweli, lakini sasa ni matajiri kupindukia, na bado wanaendelea kutafuta sifa na umaarufu wa kidunia.
  Tuache "Bias" mimi nawaona wote wako sawasawa, tena kheri huyu Babu ambaye dawa zake hazikidhi hata gharama za kuziandaa lakini watu wanapona! Laiti dawa hii ingefunuliwa kwa kina Ndodi, Kakobe na wooote kama wao watu wangeinunua dozi kwa mamilioni ya shilingi na kuwatia kiburi kabisa mbele ya Mtakatifu wa Mbinguni wanayemkebehi kila siku kwa matendo yao!
  Babu hana majivuno, kiburi, hila na anaonekana waziwazi kutotafuta sifa wala utajiri na labda ndiyo maana mpaka sasa viongozi makini wa kiimani wakristu kwa waislamu hawajamlaumu hadharani. Kitendo cha Kakobe kujitokeza hadharani na kumlaani/kumwombea dua baya ni ushuhuda wa "Uchumia tumbo" wa hawa wazushi wanaojiita "Watu wa Mungu".
  My take: kama kazi ya Babu si ya Mungu itafubaa na kufifia kama kazi za "Manabii hawa ambao sasa wanalia "Njaa!".
   
 14. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Nafikiri kwa hili tungeacha Kujisikia u-somi,Udini,Ubinafsi maana tiba ya babu ni suala la imani ya mgonjwa binafsi na maradhi anayoumwa na si wakati wa kujisikia u-graduate.
  mbona hao wahariri wanaposhindwa kumuulizä Al adawi juu ya kuikana dowans hapo awali wakati akihojiwa na mwankijiji huko marekani, na pale wanapotii kutompiga picha hamjitokezi kuwashangaa?,au kisa babu ni mchungaji.."YOU CAN BUY A GOOD DOCTOR,BUT NOT A GOOD HEALTH" Nawakilisha.!
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kuna watu wabishi kweli.........yaani hata awekwe ndani ya chupa bado utamuona ananyoosha kidole.........

  kazi kweli
   
 16. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah! Hatari kweli, so hatuna haja ya kupiga kitabu sisi tuchape usingizi tu! Yani ndoto za babu ndio suluhisho la matatizo waTANZANIA! AIBU HII.
   
Loading...