Mkuu nawashukuru sana,
nafikiri next week ntakuwa tayari nimevuta mojawapo kati ya hayo mlionishauri wadau wangu wenye busara zenu!. Pia samahani kwa kuwakwaza huenda nimetumia lugha isiyorafiki nilivokuwa najibizana na hao wajuaji wa kila kitu,
Mungu awabariki
Sent from my Redmi 8A using...
Sawa mm hamnazo kitu kichwani yaani ni empty ndiomaana nimeuliza kwa watu wenye busara zao na wamenijibu kiufasaha,
Watu wote wangekuwa na roho mbaya na ya kishetani kama yako humu , jf ingekuwa imefutika
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.