Kwanini maiti idaiwe na wakati huduma hospitali iliyotoa imeshindikana kumponya mgonjwa mpaka amefariki? Huu nao ni uhuni tu. Natamani hili liangaliwe upya litungiwe sheria ya hakuna kulipia huduma ambayo haijaleta matokeo chanya ikiwemo na hii ya matibabu ili watoa huduma wawe makini na kazi...
Tanzania taifa langu nasikitika sana, aliwahi kusema mtu fulani kuwa "wakimaliza kutushugulikia, watashughulikiana wenyewe" Zingatia hii kauli alafu tafakari sana wewe mtanzania
Andiko lote limejaa sifa kwa mwendazake, unaonekana ni mnazi wa mwendazake. Btw aliondoa sera ya ukweli na uwazi pia kuweka sheria za takwimu mpya ili mambo yake ayafanyie gizani kama kukuzia uchumi gizani na kupika takwimu ili aonekane shujaa lakini ni yeye aliyevuruga economic system ya nchi...
Maandamano ya wananchi yamebeba ujumbe ambao ni kero, nia yake ni kuhitaji utatuzi. Serikali inaona maandamano ni ya Chadema na sio ya wananchi hivyo haioni kuwajibika kwa hayo wananchi wanayoandamania. Wananchi wakichoka watatafuta namna nyingine ya kutatuliwa matatizo yao wacha awaenjoy lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.