Recent content by Real Kop

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mzungu amejenga dunia na kuweka ukomo wa binadamu kufikiri

    Hi riwaya ni ya kwakokwako, iendeleze kikwakokwako usiihusanishe na kuifananisha na mengine. Iendeleze kivyakovyako.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Na wewe angalia ulivyoandika. Usiangalie kwa wengine tu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

    Trump style, kukataa matokeo kabla hata ya uchaguzi. Hizo predictions si zitajulikana huko huko tunakoenda tuombe uzima.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya aichana Polisi

    oh you don't understand my dear, he talked in nyakyusa perspective
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hela ya TZ

    Ndugu zangu hivi kwa nini zile Noti za zamani mpaka sasa haziishi kwenye mfumo? Nasikia eti ndizo zinatumika kufanya uporaji wa fedha mpya? eti pale panapotakiwa kulipa malipo makubwa kwenye mamiradi heavy nasikia jamaa hua wanaingiza mafedha mapya na ya zamani kwa kiwango sawa na yale ya...
Back
Top Bottom