Hii ndio ilikuwa Tanzania ya Nyerere. Tanzania ya Nyerere ilikuwa shamba la bibi mataifa Afruca hasa kusini mwa Africa yaliachiwa kufanya Tanzania chaka lao la kutatua matatizo yao ya uhuru kwa gharama za kodi zetu, future yetu na maendeleo yetu.
Waliitimba na sasa hawataki hata kutusikia.
True, navwapo sio SA tu bali Zim na kwingine.
Hawa Wakenya kelele nyingi sana, wakati kampuni ni moja.
Dah! Ndio maana maskini apewi!
Ndio nimekumbuka kale kabehewa kao kamoja, wangekuwa na treni kama zetu sijui ingekuwaje.
Wewe ni mjinga sana.
Ndio kwanza leo naisikia na nimeongalia hii brand ya Egoli.
Niwe mkweli ndio leo naisikia na sijawahi kuiona kwenye bottle store yeyote ile or c;lub.
Ndio itakuwa inaanza na haina soko.
Nyie ni wajinga sana. Sio top sugar fane farmers wewe....!!
Ni hapo 2023 Kenya
Sigh...
Ni uongo tu mtupu.
Just get your silly ass from from cleaning toilets in the USA na uvisit SA uoneshe hizi biashara. Ukifika tu kila kona maduka ni Waethiopia, Pakistans.
Nyie ni taifa linapenda sana sifa za kujipamba.
No wonder miaka 60 ya uhuru bado mnanjaa.
South Africa ni Waethiopia ndio wameshika biashara za maduka kila kona na hakuna foreigner wa aina yeyote aliyeko kwenye kilimo South Africa wakiwamo Wasouth Africa wenyewe, kilimo ni Wasouth Weupe tu.
Nyie Wakenya ni mdomo tu!
Kama nilivyo kwambia kwenye teaching na lecturing ni Wazimbabwe...
Huu ujinga wa storage umeoata wapi?
Kwanini nyie Wakenya ni wajinga hivi?
Sasa kama refinery ndio hiyo ya Uganda na Tanzania ni storage facilities, why is the refined product pass through heated pipeline?
Dear fools,
Uganda's crude oil is waxy ndio maana pipeline ni heated, meaning, inayopita...
Sio Ahmed Ally tu, hata yule mwehu wa timu za wasichana Bakari Shime wote ni huyu mkurugenzi wa ufundi pale TFF, Oscar Mirambo.
Timu ikirudi iwe chini ya yule Mspaniola sio hawa kenge
https://x.com/KipepeComrade/status/2104567198362783767
https://x.com/KipepeComrade/status/2104570514799042905...
Tumefungwa fairly.
Makocha Tanzania wazawa hakuna, kuna upumbavu mwingi sana ulikuwa ukiendelea pale TFF
Hii ni jana usik namwambia mwana tunapigwa kwakua makocha hakuna.
https://x.com/KipepeComrade/status/2104279684020326761
Mimi miaka mingi sana napiga kelele kuhusu huyu mkurugenzi wa ufundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.