Recent content by Read Kambo

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miaka mitatu, mama yangu na dada wanadai mtoto niliyezaa hafanani na mimi

    Nakushauri ukapime DNA kwanza halafu baada ya hapo amua kile moyo wako utakavokusihi. Namna ya kupima sio kazi ngumu, tafuta Tshs 300,000 (laki tatu) za kulipa kwa Mkemia Mkuu, tafuta wakili yeyote amuandikie barua Mkemia Mkuu ili awapime DNA wewe, mtoto na mkeo kuhusu mahusiano ya uzazi wenu...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mpezi wangu ananiambia anapenda kuwa na wanaume wawili

    Bro anachokuambia huyo mchumba/demu wako kinaitwa red flag. Uncle wangu aliwahi nihusia kuwa ukiwa ndani ya ndege na unaona ndege inaelekea kudondoka ni bora uchukue parachuti ushuke chini taratibu kulikoni usubiri ukihisi itarejea katika hali ya kawaida. Huyo binti nikwamba hakutaki na ndo...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Wewe kausha kwani yeye unauhakika amekuambia yote kuhusu past yake, usikute yeye alikuwa na tabia chafu kukuzidi. Hata hao wenzio wakimuambia wewe kataa mwambie wanakupakazia. Hata wakiwa na picha yako ukiwa uchi mwambie imetengenezwa. Mungu mwenyewe sio mjinga alivofanya kila mtu na siri...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

    Akome na iwe fundisho kwa wengine. Njia ni moja tu ukitaka haya yasikukute achana na vya watu
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndo picha za jamaa aliyepofuliwa macho kwa kutembea na mke wa Polisi

    Kama alijua huyo ni mke wa mtu adhabu aliyo pewa anastahili maana jamaa wengine wanajiona vidume sana kuchukua vya watu halafu wakiwaona wenye navyo wanapita wanawaona mafara. Kwanini hakutafuta dem asiye mke wa mtu.
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    IIla ukifikiria inauma
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    Siyo lazima inategemeana na dem mwenyewe
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tujadili waraka

    Ndugu zangu huo waraka ni wa kupikwa jiulizeni kwanini watu hawa walipanga uhaini kwa kuandika waraka badala ya kujadiliana bila kuandika chochote, kwanini Mwigamba kakiri haraka haraka kuhusu waraka, kwanini aliyekutwa na waraka ni Mwigamba na siyo Zitto Kabwe au Kitila Mkumbo, aliye pora...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sharon hotel ubungo,dar - camera za nini vyumbani,milangoni & koridoni?

    Kwanza lihoteli lenyewe lichafu sijui kwanini watu wanaenda hapo
Back
Top Bottom