Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa tunakwenda guest tunamalizana tu fresh,huu mchezo uliendelea kwa miezi kadhaa kama nane HV.
Kilichonifanya...
Umeongea ukweli kabisa....yaan ukimwambia mm nasukuma mkokoteni au nauza mitumba haelew...mwambie nasome medicine muhimbili university namaliza mwakan tu udaktar khaaaa sio kwa kusumbuliwa huko hahahaaaa
Kiukwel mwanaume unaweza ukjituma kumpenda mwanamke kwa dhati kabisa ila akishajua unamnyenyekea sana aisee anatumia nafasi uliyompa kukukosea heshima...mpk tunalazimila kuendeleza utemi yaan hawa viumbe mm nashindwa kujua wanapenda MTU uweje maana ukiwapenda sana na kuwaheshimu huwa wanakuona...
Ndoa tamu mwanzoni tu baada ya kama 3-4 years MTU anakwambia anataman atoke ...kiukweli mm kama kuna mtihan nmebakiza n huu maana cjui utakuwaje....Hasa wanaume ndio wanaonekana kulia zaid sjui n kwann??
Mm naona n vema kuunganusha hzo point zote mbili yaan qualitative and quantitative kwa sababu ukimuandaa mwanamke sana na romance ya kutosha half ukampiga bao moja tu chali tena bao lenyewe umekaa mchezoni kwa DKK mbili tu Walahh its not good....kitu cha msing muandae kisaikolojia vzur with...
Nlkuwa naomba niwaulize wadau wa jf ,et kati ya kusoma COMPUTER SCIENCE udsm na BUILDING ECONOMICS ardhi,IPI n faculty nzur hasa kulingana na soko LA ajira kwa nchi yetu ......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.