Recent content by rdb04

  1. R

    Nihurumieni mwenzenu nakufa

    Pole sana!Lakini kwanini unataka kujiua?kwani bank wamesema watakupa adhabu gani kubwa kuliko kifo, nadhani hamkuelewana, watakudai lakini mwisho wa siku watafuata sheria, lakini sijui kama mahakama ina adhabu ya kifo ukishindwa kulipa hata senti moja . Sana sana watachukua ulichonacho, tunza uhai.
  2. R

    Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    sijaelewa haswa hapa"......kuchepuka huwa nikubadilisha kiwanja, hilo kovu lakuchepukiwa maumivu yake utakufa nayo"mmmmmmmmm????
  3. R

    Navutiwa zaidi na wanawake wa namna hii....!

    kweli kabisa, utafikiri ulikuwepo au unasoma somewhere? andika kitabu mkuu, hii mmmmmmmmh:'Afu sio kila mkikaa mnajadili ada watoto biashara. Madeni mkopo..,bora hivyo wanaongeza hata vinavyoweza kusubiri e.g.michango ya harusi,send off ,vifo,magonjwa '
  4. R

    Navutiwa zaidi na wanawake wa namna hii....!

    kweli kabisa, utafikiri ulikuwepo au unasoma somewhere? andika kitabu mkuu, hii mmmmmmmmh:'Afu sio kila mkikaa mnajadili ada watoto biashara. Madeni mkopo..,bora hivyo wanaongeza hata vinavyoweza kusubiri e.g.michango ya harusi,send off ,vifo,magonjwa '
  5. R

    Navutiwa zaidi na wanawake wa namna hii....!

    Naomba nisamehewe si nia yangu kutukana kabila lolote ila kule katika lake Victoria nasikia kuna wilaya ambayo hivi vipengele/hizi sheria zote huwa hazifanyi kazi, Mkuu Googly kwanini ulivyo na umahiri na uzoefu usiziombe NGO's zinazotoa elimu bure kule ukawasaidia maana wewe...
  6. R

    Uzi wa vyakula tu

    Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.
  7. R

    Navutiwa zaidi na wanawake wa namna hii....!

    Mkuu Goddy umeoa?Nakupongeza maana una vigezo vya kugombewa lakini sijui kama watajua kuwa unawapenda hivi. Wengine tumeokolewa na Mungu tu lakini kama principle ndio hizi, dooooh mapenzi sisi au mimi haswa ni zero!
  8. R

    Uzi wa vyakula tu

    nilihisi! Maana nimezaliwa Tandika,DAR hiyo mihogo mitamu hivyo (hata kwa macho) ilikuwa Soko la Temeke Hospital au Sterio nadhani ilikuwa inatoka Lindi/Kilwa , mmmmmmh huo mnafu nadhani siujui umenitamanisha, nikifika Tz ndio itakuwa chakula cha kwanza kutafuta, natamani ningejua wapi nikifika...
  9. R

    Uzi wa vyakula tu

    Nimevipenda Mh.Inna lakini nchi gani hapo?kule mbele ni mchicha?
  10. R

    Web Development Special Class

    Hongera sana ndugu yangu Msamiati, Mungu akubariki.Tunahitaji watu kama wewe wa kutoa elimu kwa bindamu wengine na sasa hi kwa gharama -bure! naamini utafanikiwa zaidi tu maishani!
  11. R

    Theft at Dar Airport last checkpoint. Be aware!

    At Johannesburg Airport -O.R Tambo International Airport, at one time they had a free wrapping service (zero) and the security guys would tell you please wrap it, its a free service. But now I am told they have started charging, I am not sure if the prices are the ones we see in other places or...
  12. R

    Theft at Dar Airport last checkpoint. Be aware!

    Had the same case though it was at the check-in desk, this August, they stole my brand new camera, which I was very careful that I will shift it to my hand luggage at the airport, but they manage to distract me and did their job. Though the airline will pay me, I wish if the security bosses...
  13. R

    Barua ya wazi kwako mke mtarajiwa

    si atakuwa ameyajua mapema?
Back
Top Bottom