Acha kuwa zwazwa asee wakati ni kama unajitambua . Hebu tufanye 150,000*12=1,800,000*5=9,000,000... Halafu yeye akistafu after hiyo 5yrs unajua mafao yake? Bado unajua malipo yake na posho na familia yake? Hajapiga bado kujinufaisha unadhani yeye Hana akili kung'ang'ania madaraka? Mana kimsingi...
Hivi bongo hakuna brothers movement ya kujitoa muhanga ila unalipwa kabisa familia yako na nduguzo wataishi vizuri? Like jamaa walotekeleza September 11??
Mimi ndio mshtaki mkuu, yes nilimanisha revison.. ila mshtakiwa mara nyingi hatukei kwa muamuzi..na mwanzo tulishinda .. tumerudi upya.. ilichukua mwaka miezi minne
Habarini,
Naamini wote mu wazima, wakuu msaada kujuzwa kimsingi kesi CMA inaweza kwenda muda gani?
Na kama zaidi ya mara mbili unapata ushindi mshtakiwa anakata rufaa.
Au wakati kesi yaendelea hatokei siku ya kuitwa mara kwa mara na mara nyingine hatoi tarifa ya udhuru kabisa.
Msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.