Yamebaki masaa 17 Agustino Polepole akinukishe.

Yamebaki masaa 17 Agustino Polepole akinukishe.

Kanali ana mikwara sana
Najua sasa hivi anamwaaga binti yake kabla ya kukinukisha.

4245005.jpg
 
Oooy oy oy...!
Mi naona kama kanali anachelewa kukinukisha.
Nasikia kosi litakuwa la mtu tatu tu wanaingia front kukinukisha!
Wapo full equiped & loaded.
Msichokijua ni kwamba Bro Tino ni mtaalam wa shabaha aka sniper!!
Zingatia alivyoonya vyambo wa Mafwele walipo ingia kwenye anga zake akasema "ntawadusua"
 
Niko zangu tu hapa nikitetemeka balaa. Hule mkwara kaka yake Polex2 aliouchimba asubuhi mwamba hatanii yuko serious ukizingatia ni kanali, yuko jeshi la NATO anabusu hadi mamba tumekwisha.

Imebakia masaa 17 tu.

Wanaomshikilia Polepole si wamwache tu wampeleke Segerea kwa mama yake akiwa huru? Hii itasaidia sana kuleta sitomfaham.

Am telling you the truth wasipofanya hivyo hell will break loose na hata sisi ambao hatuhusikii tutadhurika na kuhathirika.

MODS please help us am fakingscared!

View attachment 3508325View attachment 3508326


adriz de mbusii
Bange mbaya sana ..

Wewe Yahudi Shia Galatia Netanyahu worshipper pathetic Scumbabag Dujeumsaeng hiyo de mbusi itakukuponza nakupa masaa 24 kuanzia sasa uache kuniTag lasivyo something terrible will happen to you.
 
Ngoja nihamie TikTok muda huu kusikiliza Bunge Letu Pendwa!
 
Siyo jambo la kuchukulia kirahisi. Kuepusha hili janga wamuachie tu bila hivyo tumekwisha yule jamaa is highly trained in military offensive techniques. Na ana vijana wake wako gado vibaya sana wanatumia highly sophisticated weapons. Wamuachie tu Polepole.

View attachment 3508333
AI hizo, mi nataka nisikie mlio tu.
Hatutaki kutawaliwa na mi ccm kamwe kawaambie nduguzo.
 
Back
Top Bottom