Recent content by Razakyeliasy

  1. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mayai ya Kware

    Nina uhitaji wa mayai ya kware mwenye nayo contact zangu hizi hapa 0659351981
  2. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha utumishi wananizengua

    Kuosajili wanaweza kuchukua muda na mm nilikuwa nahitaji kuendelea now sasa sijui niwafanyaje , kosa ni la nani hapo na je naweza pata haki yangu ki vipi
  3. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha utumishi wananizengua

    Hibis huo ni ushauri pia kumbe ?
  4. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha utumishi wananizengua

    Wanatoa ndio ,Tanga , na mtwara lkn sisi tumemaliza mwezi wa sita mwaka huu 2016, lkn kumbe koz yetu haijasajiliwa na sasa nahangaika mie cjui hta nifanyaje
  5. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha utumishi wananizengua

    Wala nimesoma cheti na diploma nimemaliza
  6. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Chuo cha utumishi wananizengua

    Ndugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika Nacte wananambia kuwa course nlokuwa nasoma Tpsc haijasajiliwa , na nimeangalia mtandaoni nacte ni...
  7. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania TCU mnafanya haya madudu kwa faida ya nani?

    Dah na leo ndo mwisho na mtandao unasumbua allover
  8. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Duh mi naona bora ikafutwa tu maana inapingana na haki za binadamu
  9. Razakyeliasy

    JamiiForums Tanzania Should abortion be legal or illegal in Tanzania?

    It depends
Back
Top Bottom