Quran imeshushwaje mwezi wa ramadhani wakati uislam ulianza baada ya kushushwa kwa Quran na Muhammad ndiye aliyekuwa muislam wa kwanza
Kama una aya inaosema kuwa manabii kabla ya Muhammad walikuwa na mwezi wa ramadhani onyesha hapo au reference yoyote kama ipo
Pia kwanini Allah ashushe...
Ni wazi Watanzania wengi hawana kitambulisho cha taifa yani hili suala la kutoa kitambulisho cha taifa hapa nchini limekuwa kama jambo la hiari kwa mamlaka husika hali inayoweza kuchochea uwepo wa rushwa.
Suala la kupata kitambulisho cha taifa lisiwe biashara wala mizungusho kama vifaa hakuna...
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
Broo pole sana unajua Siamini kama kuna kitu kinaitwa usaliti kwenye ndoa ila ni vile tu watu wengi hawana ule uwezo wa kumtambua mtu unaye endana naye kimaisha matokeo yake unajikuta umeingia kwenye matatizo usiyo yatarajia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.