Recent content by Rayson2016

  1. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Uko sahihi Mkuu. Interview nyingi nilikuwa naishia written tu, nikafanya MDA&LGA nikafika oral na nikapata kazi. Yaani oral ya kwanza ndio iliyonipa kazi, Tena Taasisi nzuri tu
  2. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwaka huu huu mwezi wa saba mkuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hata sisi tulijaza taarifa zote lakini za benki hatukujaza, then baadae tukiwa nyumbani tukapigiwa simu tutume taarifa za bank na mshahara ukaingia tukiwa bado nyumbani
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua salary scales za TANROADS

    Scale yao ni 4.1
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua salary scales za TANROADS

    TRS 5.1- 1,500,000/= TRS 4.1 - 1,080,000/= TRS 3.1- 720,000/= TRS 2.1 SIJUI
  6. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mimi nimepata MDA mkuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante. Ni zile za MDA & LGA, oral tulifanya February
  8. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Direck Mkuu
  9. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana
  10. R

  11. R

    Asante sana mkuu
  12. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mungu ni mwema, hatimae leo na mimi ameniona. Niliyoyapitia ni mengi sana, nashukuru mno kwa hii hatua. Mungu ni mwema, narudia tena Mungu ni mwema[emoji1545]
  14. R

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuajiri wenyewe au kuchukua watu wa database?
Back
Top Bottom