Recent content by rayruy

  1. R

    Nissan Dualis na Toyota Alex

    Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali. Nahitaji kununua gari. Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
  2. R

    Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Nikweli kabisa ila ukianza na kuweka kidogo kidogo haiwi kazi ngumu sana. Kwa mfano halisi mimi kipindi nahitaji kupaua gharama ya kupaua jumla ilikuwa 7M (hapa inajumuisha mbao, misumari, pesa ya ufundi, pesa ya ubebaji mbao na bati kwenda site pamoja na batibati nilikuwa nahitaji Alafu kwa...
  3. R

    Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

    Weeehhh!! Sasa si ubadili dini tu kaka, Wote tunamwabudu Mwenyezi Mungu na kikubwa amani ya moyo
  4. R

    Kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari nzuri?

    Wanajamvi Salaam. Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi. Natanguliza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri.
Back
Top Bottom